Akothee awatupia dongo ma-snitch
Posted in
Burudani
No comments
Monday, May 16, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Hivi karibuni Akothee ameonekana kuandamwa hasa baada ya kauli ya Jaguar aliyoitoa wakati anafanya interview na Kiss FM ambapo alisema Prezzo ni male version ya Akothee.
Akothee amesema, “Sikiliza, usipinge post zangu kama wewe siyo target ya biashara yangu. Hii biashara ni kwa ajili ya baadhi ya watu wanaotaka kuishi maisha ya kweli.”
Tazama zaidi video hapa.
Hata hivyo Jaguar alizungumza na Heads Up kuhusu Akothee:
Akothee is my friend but she can be loud at times. However, I have so much respect for her hustle. Have you seen how she has been flying in and out of the country lately due to her music?
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :