Hivi ndivyo Real Madrid walivyowasili nchini Hispania na Kombe lao
Posted in
Michezo
No comments
Sunday, May 29, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Baada ya kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa UEFA kwa mara ya 11 hapo jana kwa kuifunga Athletico madrid 5-3, Katika mechi ya fainali iliyopigwa Jijini Milan-Italia, kwenye Dimba la San Siro, hivi ndivyo Real Madrid walivyowasili nchini Hispania na Kombe lao.

Katika mchezo huo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid walifanikiwa kutwaa Kombe lao 11, huku Atletico wakiambulia kushindwa kuweka rekodi ya kutwaa Kombe hilo kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu yao, Real Madrid walifanikiwa kuifunga Atletico kwa mikwaju ya penati 5-3, hiyo ni baada ya dakika 12o kumalizika kwa sare ya goli 1-1.

Baada ya Ubingwa Real Madrid waliwasili Hispania katika jiji la Madrid wakiwa na Kombe lao la 11 la UEFA.

















Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :